{"product_id":"idara-ya-usalama-wa-taifa-ni-chombo-cha-mauaji-9780692364017","title":"Idara YA Usalama Wa Taifa: Ni Chombo Cha Mauaji?","description":"Idara ya usalama wa Taifa ni chombo cha mauaji? Ilihusika vipi na vifo vya marehemu Horace Kolimba, Profesa Kighoma Ali Malima na Mzee Mahimbo? Kwa nini imeshindwa kuwadhibiti mafisadi, wauzaji wa madawa ya kulevya, wahujumu uchumi na wahalifu wengine nchini? Kwa nini wananchi wamekosa imani na idara hii? Je chombo hiki bado kinahitajika katika Tanzania ya leo? Mwandishi Godwin Chilewa anajibu maswali hayo pamoja na mengine mengi.\u003cbr\u003e\u003cbr\u003e\u003cb\u003eAuthor:\u003c\/b\u003e Godwin Chilewa\u003cbr\u003e\u003cb\u003ePublisher:\u003c\/b\u003e Gostch Publishers\u003cbr\u003e\u003cb\u003ePublished:\u003c\/b\u003e 01\/17\/2015\u003cbr\u003e\u003cb\u003ePages:\u003c\/b\u003e 224\u003cbr\u003e\u003cb\u003eBinding Type:\u003c\/b\u003e Paperback\u003cbr\u003e\u003cb\u003eWeight:\u003c\/b\u003e 0.50lbs\u003cbr\u003e\u003cb\u003eSize:\u003c\/b\u003e 8.00h x 5.00w x 0.47d\u003cbr\u003e\u003cb\u003eISBN:\u003c\/b\u003e 9780692364017\u003cbr\u003e\u003cb\u003eLanguage:\u003c\/b\u003e Swahili\u003cbr\u003e\u003cp\u003e\u003cb\u003eAbout the Author\u003c\/b\u003e\u003cbr\u003eBw. Godwin Chilewa alizaliwa wilayani Kilosa mkoa wa Morogoro. Alipata elimu ya msingi katika shule ya msingi Kichangani iliyopo mjini Kilosa na baadae katika shule ya sekondari Kibasila iliyopo jijini Dar es Salaam. Bw. Godwin amehitimu stashahada ya upelelezi kutoka School of Criminal Investigation (USA), shahada ya uongozi katika chuo kikuu cha Ashworth, shahada ya Saikolojia kutoka University of Houston Downtown, na shahada ya uzamili (MBA) kutoka Devry University Houston, Texas\u003cbr\u003e\u003c\/p\u003e\u003cp\u003e\u003ci\u003eThis title is not returnable\u003c\/i\u003e\u003cbr\u003e\u003c\/p\u003e","brand":"Gostch Publishers","offers":[{"title":"Paperback","offer_id":40440949735539,"sku":"9.78E+12","price":17.68,"currency_code":"USD","in_stock":true}],"thumbnail_url":"\/\/cdn.shopify.com\/s\/files\/1\/0555\/9255\/0515\/products\/img_b36badb4-9a51-40c0-bb64-119dffc8b1a2.jpg?v=1663252312","url":"https:\/\/bookstorenmore.com\/products\/idara-ya-usalama-wa-taifa-ni-chombo-cha-mauaji-9780692364017","provider":"Bookstore N More","version":"1.0","type":"link"}