{"product_id":"yesu-pekee-9781495925887","title":"Yesu Pekee","description":"Kitabu hiki kinalenga Kristo, msalaba, na injili. Kinazingatia utimilikaji wa ahadi ya mungu iliyofanywa sawa kwa zaidi ya miaka elfu tatu iliyopita. Mungu aliahidi ya kwamba ataishi na kutembea pamoja nasi, na kuwa angekuwa mungu wetu nasi kuwa watu wake. Ahadi hiyo ilitimilika ndani ya Yesu ambaye alikuwa Mungu pamoja nasi. Yesu alikuja kutuonyesha vile mungu alivyo. Alitwaa dhambi zetu na kujivika, na pale msalabani alilaaniwa na kuhukumiwa kwazo ili sisi tuwe huru kutokana na hiyo hukumu. Na hivyo ndivo mungu alivyo. Katika kitabu hiki \"Yesu pekee,\" kuna vito vya injili ambavyo havipatikani kwingineko- vito ambavyo vinakutia shime kumtukuza mungu kwa upendo na hekima yake kuu. Daktari Desmond Ford ameandika vitabu vingi kuhusu injili ya Kristo. Taasisi yake 'Good News Unlimited', inachapisha jarida, inatoa mahubiri ya video kwenye mtandao, na inadhamini huduma za ibada.\u003cbr\u003e\u003cbr\u003e\u003cb\u003eAuthor:\u003c\/b\u003e Desmond Ford\u003cbr\u003e\u003cb\u003ePublisher:\u003c\/b\u003e Createspace Independent Publishing Platform\u003cbr\u003e\u003cb\u003ePublished:\u003c\/b\u003e 02\/20\/2014\u003cbr\u003e\u003cb\u003ePages:\u003c\/b\u003e 122\u003cbr\u003e\u003cb\u003eBinding Type:\u003c\/b\u003e Paperback\u003cbr\u003e\u003cb\u003eWeight:\u003c\/b\u003e 0.33lbs\u003cbr\u003e\u003cb\u003eSize:\u003c\/b\u003e 8.50h x 5.50w x 0.26d\u003cbr\u003e\u003cb\u003eISBN:\u003c\/b\u003e 9781495925887\u003cbr\u003e\u003cb\u003eLanguage:\u003c\/b\u003e Swahili\u003cp\u003e\u003ci\u003eThis title is not returnable\u003c\/i\u003e\u003cbr\u003e\u003c\/p\u003e","brand":"Createspace Independent Publishing Platform","offers":[{"title":"Paperback","offer_id":45476858134643,"sku":"9781495925887","price":11.3,"currency_code":"USD","in_stock":true}],"thumbnail_url":"\/\/cdn.shopify.com\/s\/files\/1\/0555\/9255\/0515\/files\/img_f317cda7-7f9a-4ada-8c4c-55622876b330.jpg?v=1789141284","url":"https:\/\/bookstorenmore.com\/products\/yesu-pekee-9781495925887","provider":"Bookstore N More","version":"1.0","type":"link"}