Godwin Chilewa
Tufani Inapovuma: Uwe na Amani
Tufani Inapovuma: Uwe na Amani
Couldn't load pickup availability
Tufani ni kitu cha kawaida katika bahari, hivyo mtu anayekusudia kuwa nahodha wa chombo chochote cha majini, ni lazima ajifunze kutambua dalili za ujio wake na namna ya kupambana nayo. Mtu wa Mungu pia kama alivyo nahodha, unapaswa kuwa tayari kupambana na tufani za maisha zinazovuma kila siku. Utayari huo unaopatikana katika Yesu Kristo ndiyo pekee unaoweza kukupa furaha ya kweli, na kukujaza amani ya rohoni kila tufani inapovuma.
Author: Godwin Chilewa
Publisher: Godwin Chilewa
Published: 01/13/2019
Pages: 210
Binding Type: Paperback
Weight: 0.55lbs
Size: 8.50h x 5.50w x 0.44d
ISBN: 9780578485584
Language: Swahili
About the Author
Chilewa, Godwin: - "Pastor Godwin Chilewa amehitimu shahada ya saikolojia (Bsc Psychology) katika chuo kikuu cha Houston mjini kati (University of Houston Downtown), na shahada ya uzamili (MBA in Project Management) katika chuo kikuu cha DeVry - Houston. Alisimikwa kuwa mchungaji tarehe 14 Mei 2016 katika ibada iliyofanyika kwenye kanisa la Holly Covenant - United Methodist Church, Katy Texas. Kabla ya kuitwa kumtumikia Mungu Pastor Godwin alikuwa afisa mwandamizi wa idara ya Usalama wa Taifa. Kazi aliyoifanya kwa miaka ishirini. Kitabu chake kipya kiitwacho Shuhuda za Jasusi kitatoka hivi karibuni. Unaweza kumpata kupitia tovuti yake www.veritasgospel.org"
This title is not returnable
Share
