Skip to product information
1 of 1

Independently Published

Tunu ya Mashairi

Tunu ya Mashairi

Regular price $26.89 USD
Regular price Sale price $26.89 USD
Sale Sold out
Shipping calculated at checkout.
Format
Quantity
Tunu ya Mashairi ni kitabu cha kifasihi am-bacho kina mkusanyiko wa mashairi ambayo yanazungumzia maswala yanayokumba jamii ya sasa. Uzuri wa mkusanyiko wa mashairi haya unafunua maudhui na faida zinazoto-kana na maudhui zinazozungumziwa.

Katika diwani hili, maudhui yaliyoangaziwa ni: Ufisadi, uozo, ugomvi, imani, usaliti, uandishi, marafiki, zawadi, dini, uongozi bora, utengano, shibe, tamaa, uongo, ubad-hirifu, unafiki, uchochole, wizi, utamaduni, upole, kiburi, fanaka, bidi, ukiritimba, urithi, chuki, siri, mihadarati, tuhuma, dhuluma, upelelezi, kejeli, uzinzi, uchawi, elimu, matu-si, shukrani n.k.

Mbinu za malenga zinatumika katika mashairi hayo. Kila la heri unapojipanga kuyasoma, kukariri na kuyaimba mashairi hayo.

Author: Kelvin Munene
Publisher: Independently Published
Published: 02/13/2023
Pages: 106
Binding Type: Paperback
Weight: 0.34lbs
Size: 9.00h x 6.00w x 0.22d
ISBN: 9798374686999

This title is not returnable

View full details